Leo katika kampeni yetu ya #SIOPOA tunatoa wito kwa wanaume kushirikiana kwa dhati katika kupinga ukatili wa kijinsia. Kupambana na ukatili ni jukumu letu sote, na hatua ya kwanza ni kusimama pamoja kuhakikisha usawa wa kijinsia katika jamii zetu.
Tuungane kwa vitendo kupinga ukatili na kujenga jamii yenye usawa, heshima, na haki kwa wote. Sema SIO POA kwa ukatili wa kijinsia!
#SIOPOA #16DaysOfActivism #EndGBV #PingaUkatili #UsawaKwaWote #TanzaniaProjects #Voyota #AkaihCollection #AbagurusiFoundation #VisionforYouth #NoExcuses
@voyota_tanzania @visionforyouth @akaih_collection @abagurusi_foundation
Comments