🗣️ "Uhusiano kati ya ukatili wa kijinsia na maambukizi ya Ukimwi ni tatizo linaloathiri ndoa, familia, na jamii zetu kwa ujumla." - Potnar Paul (@ms_potnar). @sautihub @sautihub
Katika sauti hii ya Sauti Hub, Potnar Paul anazungumzia jinsi vitendo vya ukatili kama ubakaji na ukosefu wa usawa wa kijinsia vinavyoweka wanawake katika hatari ya kupata maambukizi ya Ukimwi. Anatoa wito kwa wadau wa maendeleo na serikali kuongeza juhudi za kuelimisha umma, kupigania usawa wa kijinsia, na kuhakikisha msaada wa kisheria unafikia jamii za pembezoni. @ms_potnar
🎙️ Huu ni muda wa kuchukua hatua! Elimisha, pinga, na saidia kuleta mabadiliko.
#SautiHub #TanzaniaProjects #PingaUkatili #PingaGBV #EndGBV #SemaHapana #HakiKwaWanawake #UsawaWaKijinsia #TunawezaPamoja
Yorumlar