top of page
Saitot Kelvin Joel

"Ukatili Hauna Nafasi: Sema SIO POA!"

Katika kampeni ya leo ya #SIOPOA, tunasisitiza kuwa ukatili wa kimwili, kiakili, au kiuchumi hauna nafasi katika jamii yetu. Ni jukumu letu sote kulinda heshima na haki za kila mtu kwa kuhakikisha usawa na usalama kwa wote.


Kwa kushirikiana na washirika wetu, tunaendelea kuhamasisha jamii zetu kupinga ukatili wa aina zote. Jiunge nasi katika harakati hizi za Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia na ulete mabadiliko tunayoyataka!




1 view0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page