"SIO POA: Simama Kupinga Ukatili wa Kijinsia!" Kila mtu ana haki ya kuheshimiwa bila kujali jinsia yake. Tunapoadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, tunaungana na mashirika mengine kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kukomesha ukatili huu. SIO POA kupuuza ni jukumu letu sote, hasa wanaume, kusimama na kuchukua hatua! #SIOPOA #EndViolence #EndGBV #NoExcuses #SIOPOA #16DaysOfActivism #PingaUkatili #HakiSawa #TokomezaGBV #TokomezaUkatili @voyota_tanzania @visionforyouth @abagurusi_foundation @akaih_collection
top of page
bottom of page
Comments