"Kura yako ni sauti yako! Tarehe 27 Novemba 2024, hakikisha unapiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Chagua viongozi watakaoleta mabadiliko katika Kijiji, Kitongoji, au Mtaa wako. Ushiriki wako unahakikisha maendeleo na demokrasia katika jamii yetu.
Tanzania Projects inakuhamasisha kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyataka. Jitokeze, jihusishe, na piga kura yako! ✊
Comments