Hongo ya kimapenzi ni aina ya ukatili wa kijinsia unaoharibu heshima na utu wa mtu. 🌍 Tanzania Projects kwa kushirikiana na washirika wetu tunapaza sauti: Tujenge mahusiano yenye msingi wa heshima na usawa!
Kila mtu anastahili kuheshimiwa bila masharti ya aina yoyote. Katika siku hizi 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, tunaungana kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya athari za rushwa ya kimapenzi na namna ya kupinga aina zote za ukatili.
🤝 Shirikiana nasi kwa mabadiliko chanya!
#SIOPOA #PingaUkatili #16DaysOfActivism #StopGBV #TanzaniaProjects #UsawaWaJinsia #HeshimaKwaWote #ENDGBV
Washirika:
📌 @Voyota (Voice of Youth Tanzania)📌 @TanzaniaProjects📌 @AkaiahCollection📌 @VisionForYouth📌 @AbagurusiFoundation
Comments