🏠 #SIOPOA: Ukatili wa Nyumbani Haukubaliki!
Ukatili wa nyumbani si suala la kifamilia pekee ni kosa la jinai linalohitaji kuchukuliwa hatua. Kila mtu ana haki ya kuishi maisha bila hofu, manyanyaso, au ukatili wa aina yoyote.
📢 Tuungane pamoja kupinga ukatili wa nyumbani kwa kuripoti matukio na kuwa sauti kwa wale waliodhulumiwa. Kwa pamoja, tunaweza kujenga jamii salama kwa wote.
✊ Chukua Hatua! Linda Haki! Paza Sauti!
Comentarios