🧡 Serikali, mashirika ya kijamii, na kila mmoja wetu tuna jukumu la kuondoa ukatili wa kijinsia. Wakati umefika wa kuunganisha nguvu na kufanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha jamii zetu ni salama kwa kila mmoja.
Kwa kushirikiana, tunaweza kujenga jamii yenye usawa na haki, ambapo kila mtu anaheshimiwa na kulindwa dhidi ya ukatili wa aina yoyote.
📢 Tuendelee kupaza sauti kupitia kampeni ya SIO POA! Pamoja, tunaweza kuleta mabadiliko makubwa. ✊
#SIOPOA #PamojaDhidiYaUkatili #16DaysOfActivism #StopGBV #TanzaniaProjects #HakiNaUsawa #VoiceOfYouthTanzania #AkaihCoffection #AbagurusiFoundation #WeChangeLivesForABrighterFuture
Comments