š "Mitandao ya kijamii siyo tu sehemu ya mawasiliano, bali ni zana muhimu ya kushirikisha vijana katika maamuzi yanayoamua hatima ya taifa."
Luciana Massawe, mdau wa maendeleo ya jamii, anazungumzia jinsi mitandao ya kijamii inavyowezesha vijana kushiriki katika mchakato wa maamuzi, mfano halisi ukiwa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya Mwaka 2050.
š” Kwa kutumia majukwaa haya, tunahamasisha kizazi kipya kushiriki kikamilifu, kutoa maoni, na kushirikiana katika kujenga Tanzania tunayoitamani.
š² Jiunge nasi kwenye #SautiHub na usaidie kupeleka sauti ya mabadiliko mbali zaidi!
Comments