Irene Mbombo, mtaalamu wa mazingira na mwanaharakati wa mabadiliko ya tabia ya nchi, anazungumzia changamoto kubwa inayosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. @sautihub
Madhara yake yanajumuisha:
🌪️ Ukame na mafuriko yanayosababisha uharibifu wa miundombinu
🚨 Migogoro, vifo, na mlipuko wa magonjwa
💧 Uhaba wa maji na lishe duni
📉 Kupungua kwa pato la taifa na kuathiri sekta kama kilimo, ufugaji, viwanda, na utalii
Ili kukabiliana na changamoto hizi, tunapaswa:
🌱 Kupanda na kutunza miti
⚡ Kutumia nishati safi kama gesi na umeme
♻️ Kuthibiti utupaji taka holela
🤝 Kushirikiana na taasisi mbalimbali kutekeleza sera za mazingira
Sote tuna jukumu la kulinda sayari yetu kwa vizazi vya sasa na vijavyo. 🌿 @chagga_finest @chagga_finest
#MabadilikoYaTabiaYaNchi #SautiHub #ElimuYaMazingira #KilimoEndelevu #NishatiSafi #MazingiraBora #TanzaniaProjects #Climatechange
Commentaires