top of page
Saitot Kelvin Joel

"Linda Watoto Wetu: Sema SIO POA kwa Ukatili!"

Katika kampeni ya leo ya #SIOPOA, tunasisitiza umuhimu wa kuwalinda watoto wetu dhidi ya ukatili wa kijinsia na manyanyaso. Watoto ni msingi wa jamii yetu, na kila mmoja ana haki ya kukua katika mazingira salama na yenye upendo. Tunapoadhimisha Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, tushirikiane kuhamasisha jamii zetu na kuchukua hatua kuwalinda watoto wetu.


Jukumu ni letu sote wazazi, walezi, walimu, na kila mwanajamii. Linda haki za watoto leo kwa kusema SIO POA kwa ukatili wa kijinsia!




0 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page