Leo ni siku ya kufanya mabadiliko! Jitokeze kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa. Vituo vya kupiga kura vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni. Hakikisha unatumia haki yako ya msingi na kuwa sehemu ya maendeleo ya kijiji, kitongoji, au mtaa wako.
Kura yako ina thamani kubwa—ni sauti yako katika kuleta mabadiliko tunayoyataka. Usikose nafasi hii ya kihistoria!
#KuraYakoSautiYako #Uchaguzi2024 #JitokezeKupigaKura #MabadilikoYaKweli #SerikaliZaMitaa #SautiyaWananchi
Comments