top of page
Saitot Kelvin Joel

"Kura Yako, Sauti Yako: Jitokeze Kuanza Mabadiliko!"

Kura yako ni muhimu, ni sehemu ya mabadiliko unayoyataka kwa jamii yako. Usikose nafasi yako ya kuchagua kiongozi bora kwa maendeleo ya kijiji, kitongoji, au mtaa wako. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakuwa tarehe 27 Novemba 2024. Vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni. Jitokeze, thibitisha haki yako ya kupiga kura na kuwa sehemu ya mabadiliko!




0 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page