Ukatili wa kijinsia hauna nafasi katika jamii yetu! Katika kampeni ya leo ya #SIOPOA tunasisitiza umuhimu wa kuheshimu maamuzi ya kila mtu. “Hapana” maana yake ni “Hapana,” na ni jukumu letu kulinda heshima na haki za kila mmoja.
Tukiendelea na Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, Tanzania Projects pamoja na washirika wetu tunasimama kidete kuhamasisha jamii zetu kupinga ukatili kwa vitendo. Ungana nasi, shiriki ujumbe huu, na ulete mabadiliko chanya!
#SIOPOA #16DaysOfActivism #EndGBV #PingaUkatili #HakiSawa #TanzaniaProjects #AkaihCoffection #Voyota #AbagurusiFoundation #WeChangeLives
Opmerkingen