top of page
Saitot Kelvin Joel

HAKIKI JINA LAKO, USIKOSE KURA YAKO!

🗳️ Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024! 🗳️

Ni wakati wako wa kuhakikisha unashiriki katika mchakato wa kuleta mabadiliko kwenye jamii yako! Hakiki jina lako kwenye Orodha ya Wapiga Kura kuanzia tarehe 21 hadi 27 Oktoba, pale ulipojiandikisha.


Uchaguzi wa serikali za mitaa ni fursa ya kusikika kwa sauti yako, kuchagua viongozi wa karibu na kuleta maendeleo ya kweli kwenye jamii. Kama Tanzania Projects Organization, tunawahamasisha wananchi wote kujitokeza kwa wingi ili kuhakikisha wana nafasi ya kushiriki uchaguzi huu muhimu.


Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi!


11 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page