Katika siku hizi 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, tunasimama kidete kutetea haki za wanawake na wasichana. Haki za wanawake ni haki za binadamu, na heshima inapaswa kuwa msingi wa kila jamii. Tuungane pamoja kuhakikisha usawa wa kijinsia na kumaliza ukatili wa aina yoyote! 🧡✊
#SIOPOA #TanzaniaProjects #16DaysOfActivism #EndGBV #StopViolence #GenderEquality #HumanRights #HakiZaWanawake #Voyota #AkaihCollection #WeChangeLives #AbagurusiFoundation #VoicesForChange
Comments