"Bahari yetu, Uchumi wetu!"Karibu usikilize maoni ya Stellah Masai, Marine Scientist na mtetezi wa haki za mazingira, akifafanua jinsi Watanzania wanaweza kutumia uchumi wa blue kujikwamua kiuchumi na kupambana na changamoto za ajira.
💡 Stellah ameelezea fursa kama:
✅ Ufugaji wa samaki kwa vizimba na mabwawa
✅ Kilimo cha mwani
✅ Ufugaji wa jongoo bahari na kaa
🌟 Ni wakati wa kuwekeza katika maliasili zetu na kuijenga Tanzania yenye ustawi wa kiuchumi kwa kila mmoja!
🗣️ Changamoto yetu: Tuongeze juhudi za kuhifadhi mazingira na kutumia rasilimali kwa njia endelevu ili kuhakikisha fursa hizi zinawanufaisha wote, hususan vijana na jamii zetu.
📌 Ungana nasi kwenye #SautiHub tunapozungumzia suluhisho la kiuchumi kwa vizazi vya sasa na vijavyo.
#UchumiWaBlue #TanzaniaProjects #SautiHub #EmpoweringYouth #Sustainability #MarineScience #ClimateAction

Comments