🌍 "Leo, Glory Letayo, mhifadhi na mdau wa masuala ya mazingira, anazungumzia fursa zinazokuja na changamoto za mabadiliko ya tabia ya nchi." 🌱 @sautihub @gloryletayo
Takwimu zinaonyesha kuwa Afrika na nchi zinazoendelea ziko hatarini zaidi kutokana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi. Hata hivyo, changamoto hizi pia zimeleta fursa kwa vijana kuonyesha ubunifu wao kwa ajili ya maendeleo endelevu.
Glory anahimiza vijana kushiriki katika kutafuta suluhisho la kijani kwenye sekta kama kilimo, ujenzi, na uzalishaji ili kupunguza uzalishaji wa hewa chafu. ✨
🎧 Sikiliza ujumbe wake kamili na jiunge nasi katika kuleta mabadiliko kwa sayari yetu! 💚
Comments