Matumizi sahihi ya P2 ni muhimu kwa afya ya uzazi!
🩺 Anna Pamba, mtetezi wa afya ya dunia na mdau wa maswala ya uzazi, anatukumbusha kwamba:
🔹 P2 ni njia ya dharura ya uzazi wa mpango, si kwa matumizi ya kawaida.
🔹 Matumizi holela yanaweza kusababisha matatizo ya homoni na kuvuruga mzunguko wa hedhi.
🔹 Kondomu ni njia bora ya kujilinda dhidi ya mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa.
💡 Tanguliza afya yako ya uzazi mwaka huu!Â
Tembelea kituo cha afya kilicho karibu kupata ushauri bora wa njia za uzazi wa mpango. Afya yako ni kipaumbele chetu! 💪 @anna_pamba_ @sautihub
Comments