top of page
Saitot Kelvin Joel

🧠 Afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili!

Katika kipande hiki cha SAUTI HUB, Anneth David, Tabibu, Mtafiti wa Afya, na Mwaharakati wa Afya ya Jamii, anazungumzia changamoto zinazowakumba vijana na wanawake kwenye afya ya akili.


💬 Vijana wanapitia changamoto kama ukosefu wa ajira, msongo wa mawazo, na shinikizo la jamii, huku wanawake wakikumbwa na changamoto za unyanyasaji wa kijinsia na majukumu mazito ya kifamilia.


👥 Anneth anatufundisha kuwa juhudi za pamoja, utafutaji wa suluhisho mapema, na msaada kutoka kwa mashirika ya jamii ni muhimu. Afya ya akili ni msingi wa maendeleo ya jamii yetu tunapozingatia afya ya akili, tunalinda maisha yetu.


🎙️ Sikiliza sauti ya Anneth kwenye #SautiHub na ujiunge nasi katika kupaza sauti ya mabadiliko!




13 views0 comments

Recent Posts

See All

Comentários


bottom of page