Afya bora ni msingi wa maisha yenye mafanikio! Husna Boniface Wangwe, Mwenyekiti wa UDOM Health Club 2024/2025 na balozi wa afya za watoto, vijana, na vijana balehe, anatoa ujumbe muhimu kuhusu maana ya afya, umuhimu wa kuitunza, na madhara ya kushindwa kutunza afya zetu.
Je, unazingatia mlo sahihi na kufanya mazoezi?
💡 Sikiliza ujumbe wake wa kuhamasisha mabadiliko chanya kwa vijana wa Tanzania na dunia nzima.
🔗 Tafadhali tuunge mkono katika kueneza ujumbe huu.
🎧 Sikiliza ujumbe huu wa kipekee kutoka kwa Husna: @husna_boniface @sautihub @tanzaniaprojects
Comments