top of page
Saitot Kelvin Joel

"A Journey of Freedom and Progress – Celebrating 63 Years of Independence!"

"Happy Independence Day, Tanzania! 🇹🇿 Leo tunarejea nyuma kutafakari safari yetu ya miaka 63 ya uhuru—kuanzia maono ya waasisi wetu hadi kwa jamii tunazoshirikiana nazo kila siku.

Tanzania Projects tunajivunia kuwa sehemu ya safari hii kwa kuboresha maisha ya watu kupitia miradi ya uwezeshaji vijana, uongozi, maendeleo endelevu, na kujenga usawa wa kijinsia.

Uhuru wetu ni fursa ya kuendelea kusimama imara, kubadilisha maisha, na kuleta matumaini kwa kizazi kijacho. Tuendelee kuijenga Tanzania yenye mshikamano na fursa kwa wote.

🇹🇿 Heri ya Miaka 63 ya Uhuru, Tanzania!



1 view0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page